Takwimu muhimu kuhusu Freemason

Takwimu muhimu kuhusu Freemason
United Grand Lodge of EnglandHaki miliki ya pichaUNITED GRAND LODGE OF ENGLAND
Image captionKuna takriban wamasoni milioni sita duniani na zaidi ya 200,000 Uingereza ambao huwa chini ya Jumuiya Kuu ya Wamasoni ya England
  • Kuna takriban wamasoni 4,700 wa kike Uingereza, ukilinganisha na takriban wamasoni 200,000 wa kiume
  • Wafreemason hukutana katika hekalu ambalo pia huwa wanaliita "lodge" (au nyumba). Inafahamika kwamba huko ndiko waasi wa kale walikuwa wanakutana wakifanya kazi ya ujenzi wa kanisa
  • Huwa wanavalia aproni maalum za kimasoni, utamaduni unaotokana na imani ya jadi kwamba wamasoni walitokana na waashi, ambao walikuwa wanavalia aproni maalum kujilinda dhidi ya mawe wakifanya kazi ya ujenzi
  • Ngazi ya "shahada ya tatu" huwa ni ngazi ya mwisho katika kuwa mmasoni kamili. Sherehe ya kuingiza mtu katika ngazi hii huhusisha kuhojiwa vikali, ambapo wazo la kumpa mtu "shahada ya tatu" huwa na asili yake.
  • Mafreemason maarufu ni pamoja na Sir Winston Churchill, Sir Arthur Conan Doyle, Rudyard Kipling, Robert Burns, Oscar Wilde na Peter Sellers
line break
Bi Chapman anasisitiza kwamba usiri wa Freemason hutokana na haja ya kuunda mvuto fulani na pia upekee fulani na si "kuficha uovu fulani".
"Hatuna mipango ya kujaribu kutwaa udhibiti wa ulimwengu, licha ya dhana hizi ambazo huenezwa na watu waongo mtandaoni, na hatujaribu kupindua serikali au mambo kama hayo.
"Tunahitaji kuhifadhi kiasi fulani cha usiri kwa sababi hilo ndilo hufanya kundi letu kuwa maalum."

1 comment:

  1. MALI,UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI MPAKA MASAA 72(SIKU 3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    (KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
    (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
    MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.

    NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
    KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU.

    ReplyDelete

Powered by Blogger.