Takwimu muhimu kuhusu Freemason

Takwimu muhimu kuhusu Freemason
United Grand Lodge of EnglandHaki miliki ya pichaUNITED GRAND LODGE OF ENGLAND
Image captionKuna takriban wamasoni milioni sita duniani na zaidi ya 200,000 Uingereza ambao huwa chini ya Jumuiya Kuu ya Wamasoni ya England
  • Kuna takriban wamasoni 4,700 wa kike Uingereza, ukilinganisha na takriban wamasoni 200,000 wa kiume
  • Wafreemason hukutana katika hekalu ambalo pia huwa wanaliita "lodge" (au nyumba). Inafahamika kwamba huko ndiko waasi wa kale walikuwa wanakutana wakifanya kazi ya ujenzi wa kanisa
  • Huwa wanavalia aproni maalum za kimasoni, utamaduni unaotokana na imani ya jadi kwamba wamasoni walitokana na waashi, ambao walikuwa wanavalia aproni maalum kujilinda dhidi ya mawe wakifanya kazi ya ujenzi
  • Ngazi ya "shahada ya tatu" huwa ni ngazi ya mwisho katika kuwa mmasoni kamili. Sherehe ya kuingiza mtu katika ngazi hii huhusisha kuhojiwa vikali, ambapo wazo la kumpa mtu "shahada ya tatu" huwa na asili yake.
  • Mafreemason maarufu ni pamoja na Sir Winston Churchill, Sir Arthur Conan Doyle, Rudyard Kipling, Robert Burns, Oscar Wilde na Peter Sellers
line break
Bi Chapman anasisitiza kwamba usiri wa Freemason hutokana na haja ya kuunda mvuto fulani na pia upekee fulani na si "kuficha uovu fulani".
"Hatuna mipango ya kujaribu kutwaa udhibiti wa ulimwengu, licha ya dhana hizi ambazo huenezwa na watu waongo mtandaoni, na hatujaribu kupindua serikali au mambo kama hayo.
"Tunahitaji kuhifadhi kiasi fulani cha usiri kwa sababi hilo ndilo hufanya kundi letu kuwa maalum."

3 comments:

  1. MALI,UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI MPAKA MASAA 72(SIKU 3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    (KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
    (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
    MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.

    NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
    KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU.

    ReplyDelete
  2. Nilikuwa nikikabiliana na mapambano mengi maishani mwangu, nikiwa nimezungukwa na nishati mbaya na bila msaada kutoka kwa mtu yeyote. Kisha nikakutana na Dk. Dawn, ambaye alinitambulisha kwa Illuminati. Baada ya kuanzishwa kwangu, nilipokea bonasi ya kukaribisha ya $300,000, na tangu wakati huo, nimeendelea kupokea baraka zaidi.

    Leo, hakika mimi ni tajiri na ninamshukuru Dk. Dawn kwa kubadilisha maisha yangu.
    Ikiwa mtu yeyote hapa ana nia ya kujiunga na Illuminati, unaweza kuwasiliana na Dk. Dawn kwa uanzishwaji wa haraka na wa kweli - hakuna dhabihu ya kibinadamu inayohusika.

    WhatsApp: [ +2349046229159]

    ReplyDelete
  3. 𝗜𝗝𝗨𝗪𝗘 𝗧𝗛𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗡𝗚𝗨𝗩𝗨 𝗬𝗔 𝗣𝗘𝗦𝗔 𝗜𝗟𝗜𝗬𝗢 𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔𝗞𝗢.

    Mtu mwenye pesa
    akijiskia vibaya atakumbuka mali zake
    atarudi kwenye hali ya kawaida,

    Ukikosa pesa ni mapambano na ni ngumu kurudi kwenye hali ya kawaida.

    Watu wanasema hakuna thamani ya pesa au mali inayo zidi thamani ya mtu.Hata wewe ni zaidi ya mali na pesa.

    Kujiskia vizuri ni high frequency kujiskia vibaya ni low frequency.

    Ukiishi kwenye high frequency riziki zinafunguka
    Ukiishi kwenye low frequency riziki zinafunga.

    Mtu mwenye pesa atakumbuka mali zake. Atarudi hali ya kawaida, Hali ya kujiskia vizuri
    Ipo kauli inasema aliye nacho huongezewa.watu hawa wanadumu kwenye high frequency.
    High Frequency ndio channeli ya riziki.

    Muda wote ukiwa kwenye high frequency nyota inang'aa bila kulazimishwa.
    Muda wote ukiwa kwenye low frequency nyota inazima bila kulazimishwa.

    Asikudanganye Mtu kwamba huna kitu.
    Wewe umepewa muda hapa duniani ujitambue ili uwe wewe. Ndio maana bado unaishi.
    Kujiskia vizuri ni channeli ya Riziki.
    Hakikisha unapatikana kwenye channeli hiyo.
    Riziki zitakuona ukiwa kwenye high frequency.

    Low frequency ni barabara ya giza na mikosi hakuna riziki kwenye mikosi.
    Huna pesa tafuta nyaraka iliyo andika wewe ni nani.
    Utakumbuka wewe ni nani.
    Itakusaidia kujiskia vizuri.

    Wachawi wana kauli zao , nini kina mpa kiburi. Watu wabaya wanapenda ujiskie vibaya muda wote.
    Ili uendelee kuwa masikini.

    Muda wowote ukijiskia vibaya. shika nyaraka Yako,
    iliyo andika wewe ni nani,
    mara zote ukiisoma uta kumbuka uwezo wako mkubwa .
    utajiskia vizuri,
    kwa kuwa uwezo wako ni
    hazina ya siri.

    (Kwanza kabisa nataka kukwambia kwamba hakika utajiri ni hazina kutoka kwa mwenyezi Mungu na pia kuna viumbe alio wapa mamlaka na nguvu ya kumiliki mali)

    CALL/WHATSUP +255 742162843

    MPAKA MASAA 48(SIKU2) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    (KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    POPOTE ULIPO TIBA INAKUFIKIA HATA WALIO NJE YA NCHI
    #kenya
    #Uganda
    #Congo
    #Rwanda
    #Burundi
    #tanzania #trendingpost

    KARIBU DOKTA MDIRO

    NIPIGIE/ WHATSUP

    +255 742162843

    ReplyDelete

Powered by Blogger.